Neymar Al- Hilal kwamuita

Neymar Al- Hilal kwamuita

Mshambuliaji  wa #PSG #Neymar inadaiwa kuwa yupo katika mazungumzo na ‘klabu’ yake kuhusu uhamisho wa team nyigine utakaokuwa na thamani ya Euro Milioni 160 ambayo ni sawa na Tsh 436  Bilioni ambapo inadaiwa ‘atasaini’ mkataba wa miaka miwili.

Licha ya kutajwa mara kadhaa kuwa anaweza kurejea #FCBarcelona, inavyoonekana mchezaji huyo anatarajiwa kuwa mchezaji wa Al-Hilal ya #SaudiArabia siku chache zijazo.

Ikumbukwe takwimu zinaonyesha Neymar yupo PSG tangu alipotua mwaka 2017 kwa ada ya 605 billioni kutoka FC Barcelona,  amecheza ‘mechi’ 173, akifunga ‘magoli’ 118.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags