Nguo alizovaa Jack kwenye Titanic kuuzwa kwa zaidi ya 200 milioni

Nguo alizovaa Jack kwenye Titanic kuuzwa kwa zaidi ya 200 milioni

Vazi alilovaa Leonardo DiCaprio au Jack Dawson wa movie ya Titanic linatarajiwa kupigwa mnada mwezi ujao ambapo vazi hilo linakadiriwa kuwa na thamani ya dola 115,000 hadi 230,000, ambazo ni zaidi ya tsh 200 milioni.

Mnada huo wa propstore utafanyika London Novemba 9 hadi 11 mwaka huu, ambapo vitu mbalimbali vya  kumbukumbu katika movie mbalimbali vinatarajiwa kuuzwa mfano suti ya Batman pamoja na vazi la kustaajabisha la Jack Sparrow kutoka ‘Pirates of the Caribbean’.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags