Nikki wa Pili, Usiache kuweka Akiba

Nikki wa Pili, Usiache kuweka Akiba

Mkuu wa mkoa wa wilaya ya Kisalawe Mh,Nikki wa pili kupitia ukurasa wake wa Tweet amefunguka na kutoa maneno kuntu ambayo yanahamasisha kwa namna moja ama nyingine

Aidha alifunguka na kueleza kuwa “Upendo nikama hela tumia na wengine kalini usiache kuweka akiba kwa ajili ya matumizi yako peke yako’’ amesema  Mh, Nikki wa pili

 Haya sasa wanangu wa mwananchiscoop je mmeelewa ujumbe wa muheshimiwa Nikkwapili? Dondosha komenti yako hapo chini.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags