Offset agawa nguo na Internet bure

Offset agawa nguo na Internet bure

Mwanamuziki kutoka nchini #Marekani, #Offset ameweka heshima nyumbani kwao Atlanta baada ya kushirikiana na mfuko wa Ann Cephus kwa kuwapatia maelfu ya watu vitu ikiwemo nguo na huduma ya Internet.

Hata hivyo ‘Rapa’ huyo amesema kuwa amefanya hivyo kwa sababu walimuunga mkono mpango wake wa kuhamasisha vijana kufikia ndoto zao wa ‘Toyz4 the Nawf’, pia amefanya hivyo kuwatia moyo vijana na kuwaonesha kuwa ndoto zao zinaweza kutimia kwa sababu unapobarikiwa unabariki na watu wengine.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags