Patachimbika Diamond, Rema na Asake kukiwasha jukwaa moja

Patachimbika Diamond, Rema na Asake kukiwasha jukwaa moja

Waandaji wa tamasha la #Afronation tayari wameachia majina ya wasanii watakao tumbuiza katika tamasha hilo linalotarajiwa kufanyika Juni 26-28 mwaka 2024, mjini Portimao nchini Ureno.

Diamond atakuwa msanii pekee kutoka Afrika Mashariki aliyechaguliwa kutumbiza katika tamasha hilo, ambapo atakiwasha kwenye stage moja na wasanii wengine akiwemo, Rema, Asake, Tyla na wengineo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags