Polisi yapiga marufuku maandamano ya Odinga

Polisi yapiga marufuku maandamano ya Odinga

Kufuatiwa na maandamano makubwa jijini Nairobi yaliyoitishwa na kiongozi wa Azimio la Umoja, Raila Odinga kutokana na madai ya mfumuko mkubwa wa bei na gharama za maisha kupanda, Jeshi la Polisi limezuia maandamano likisema maombi yamechelewa.

Pamoja na tamko hilo kutoka kwa polisi, waandamanaji wamedai kila kitu kitaendelea na wanatarajiwa kuingia mtaani kama walivyopanga.

Aidha, kuelekea maandamano hayo, Odinga pia amedai aliibiwa kura katika uchaguzi wa Urais uliomuingiza madarakani Rais William Ruto, Mwaka 2022.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags