Promota wa ndondi ajaribu kumshawishi Cr7 kwenda Arsenal

Promota wa ndondi ajaribu kumshawishi Cr7 kwenda Arsenal

Promoter wa ndondi kutoka nchini #Uingereza, #FrankWarren amejaribu kumshawishi mchezaji wa #Alnassr, #CristianoRonaldo kwenda katika ‘klabu’ ya #Arsenal.

Inaelezwa kuwa wawili hapo walikutana katika hafla ya ‘Day of Reckoning’ mwishoni mwa week hii nchini Saud Arabia.

Hata hivyo jaribio hilo la Frank la kumshawishi mchezaji huyo halikufua dafu kwani ulikuwa kama utani kwa CR7.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags