R Kelly aajiri wakili mpya

R Kelly aajiri wakili mpya

Msanii kutoka nchini Marekani Robert Sylvester maarufu R.kelly ameamua kuachana na timu ya mawakili waliokuwa wakimtetea na kumuajiri bi. Jennifer Bonjean kuwa wakili wake mpya.

Bi Jennifer ndiye aliyekuwa nyuma ya ushindi wa kesi ya ngono iliyokuwa ikimkabili mchekeshaji mkongwe  Bill Cosby

Kwa sasa R. Kelly yupo jela huko Brooklyn kwa makosa ya kufanya ngono na mabinti waliokuwa chini ya umri wa miaka 18 pamoja na rushwa.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags