Waruka sarakasi maarufu nchini Ramadhani Brothers ambao wanaipeperusha Bendera ya Tanzania, katika mashindano makubwa ya kusaka vipaji hatimaye wanaingia tena stejini Jumatatu 8 Januari 2024 katika shindano la Americas got Talent (AGT) wakiwania $ 2500000.
Mara ya mwisho Ramadhani Brothers ilishindwa kutwaa ubingwa na kuishia top 5 katika mashindano ya kusaka vipaji ya Australia's Got Talent 2022 (AGT).
.
.
#mwananchiscoop
#burudikanasi

Leave a Reply