Mwanamuziki Rayvanny athibitisha ule msemo wa wahenga kuwa “kila unachojiwazia ndicho hutokea” kwa kudai kuwa kila alichokuwa akiota kitokee kwenye muziki wake ndicho kimetokea.

Rayvany amethibitisha hayo kupitia ukurasa wake wa #Instagram huku akiwadokeza mashabiki wake kuwa kuna mengi mazuri yanakuja.
Leave a Reply