Ronaldinho Kuuwasha moto Rwanda

Ronaldinho Kuuwasha moto Rwanda

Nguli wa soka kutoka Brazil Ronaldinho Gaúcho anatarajiwa kuuwasha moto na washiriki wengine 150 katika michuano ya Veteran Clubs World Championship.

Ronaldinho ame-share taarifa hiyo Kupitia ukurasa wake wa X kwa kueleza kuwa mashindano hayo yanatarajiwa kufanyika kuanzia September 1 hadi 10 mwaka 2024 nchini Rwanda.

This story is available exclusively to SCOOP members.
Become a #Scooper and start reading now.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags