Baada ya ‘timu’ yake ya Taifa ya #Senegal kuondolewa katika michuano ya #Afcon mchezaji kutoka ‘klabu’ ya #Alnassr Sadio Mane amerudi na sasa yupo mapumzikoni akiwa na mkewe Aisha Tamba.
Mabingwa watetezi #Senegal wameondolewa katika michuano hiyo na ‘timu’ ya Taifa ya Ivory Coast kwa mikwaju ya ‘penati’ baada ya mchezo huo kutamatika kwa sare ya bao 1-1.
katizame video hiyo kupitia ukurasa wetu wa instagram @mwananchiscoop

Leave a Reply