Sancho aonesha makali yake Dortmund

Sancho aonesha makali yake Dortmund

Baada ya kuwa na wakati mgumu katika maisha yake ya ‘soka’ aliyekuwa winga wa #ManchesterUnited #JadonSancho ambaye kwa sasa anacheza kwa mkopo #BorussiaDortmund ameanza kuonesha makali yake uwanjani.

Ambapo siku ya Jana ‘klabu’ yake ya Dortmund ilikuwa kibaruani ikicheza na #Darmstadt Sancho alifanikiwa kutoa ‘asisti’ na kifanikisha timu yake kufunga bao la pili.

Mchezo huo ulitamatika kwa  mabao 3_0  huku Dortmund ikiondoka na alama zote tatu, Sancho aliingia dakika ya 55 akichukuwa nafasi ya Jamie Bynoe-Gittens na kutoa asisti dakika ya 77.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags