Sancho kurudi kwa mkopo Borussia Dortmund

Sancho kurudi kwa mkopo Borussia Dortmund


‘Klabu’ ya Borussia Dortmund ipo kwenye mchakato ya kuwania saini ya nyota wake wa zamani Jadon Sancho anayeichezea Manchester United.

#Sancho (23) amekuwa na wakati mgumu tangu ajiunge na #ManUnited akitokea #Dortmund lakini mambo yameharibika zaidi ilipoingia kwenye migogoro na ‘Kocha’ wake Erik ten Hag.

#ManchesterUnited haipo tayari kumuuza winga huyo lakini wamedai wapo tayari kumtoa kwa mkopo na kukataa kuweka kipengele cha kumuuza moja kwa moja hivyo italazimika kulipa sehemu kubwa ya mishahara ikiwa atarejea #Dortmund kwa mkopo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags