
Shabiki amwaga machozi baada ya Arsenal kupokea kipigo
Kijana mmoja ambaye ni shabiki wa Arsenal ameonekana akimwaga machozi kutokana na ‘klabu’ anayoshabikia kuchapwa na #WesthamUnited bao 2-0, huku ikiwa ni mara ya kwanza kwa shabiki huyo kuhudhuria mchezo huo katika uwanja wa Emirates.
Leave a Reply