Song aonesha jezi alizopewa

Song aonesha jezi alizopewa

Nyota wa zamani wa Arsenal, Barcelona, West Ham United na Cameroon, Alexandre Song ame-share video kwenye ukurasa wake wa Instagram akionesha ‘jezi’ alizobadilishana na ‘mastaa’ mbalimbali wakati akicheza ‘soka’.

Kiungo huyo mkabaji aliyekuwa na uwezo wa kucheza nafasi ya beki wa kati, alistaafu ‘soka’ Novemba 2023 akiwa na umri miaka 36 wakati akiitumikia Arta Solar ya Djibouti.

Timu nyingine alizocheza Song ni Bastia, Charlton Athletic, Rubin Kazan na Sion.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags