Kupitia ukurasa wao wa Instagram wame-share video tofauti tofauti zikionesha wakibadirisha nguo chakavu pamoja na za mtumba kutengenezea Decollations mbalimbali ambazo hubandikwa kwenye maduka, majumbani pamoja na maofisini.

Kufuatiwa na Mapambo hayo wadau mbalimbali wameeleza kuwa urembo na mapambo hayo huenda yakashika soko Duniani kote baada ya kuwepo kwa Wallpaper Decollations kwa muda mrefu kidogo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi
Leave a Reply