The story behind comedy duo WANYABI: Oka Martin na Carpoza

The story behind comedy duo WANYABI: Oka Martin na Carpoza

"Walikutana studio ya muziki na kuunganishwa na rafiki mmoja, na sasa wanajulikana kati ya wachekeshaji wakubwa nchini Tanzania. Pamoja na Carpoza kufukuzwa kazi katika siku ya kwanza kazini, na kwa pamoja kusota miaka kadhaa bila kuona faida ya uchekeshaji, Oka Martin na Carpoza wanatimiza ndoto zao. Hii ni historia yao."

Wachekeshaji Oscar Martin 'Oka Martin' na Edward 'Carpoza' ni watu wanaotokea dunia tofauti, lakini hadi sasa wanachukuliana kama makaka wa damu, kutokana na ukaribu waliojijengea.

This story is available exclusively to SCOOP members.
Become a #Scooper and start reading now.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Detricia Pamba

A Digital Journalist, Content Creation Executive at Mwananchi Communications Ltd and Chief Editor of Mwananchi Scoop. I'm also writes stories around Technology, every Wednesday on Mwananchi Scoop. My other famous segments on Mwananchi Scoop include LISTI and WHO’S HOT.


Latest Post

Latest Tags