

Tiwa na Davido si marafiki tena
Wanamuziki kutoka nchini #Nigeria Tiwa Savage na Davido wameacha mashabiki wao katika sintofahamu baada ya wawili hao kufuta urafiki kwenye mtandao wa Instagram huku sababu ya kufanya hivyo bado haijafahamika mpaka kufikia sasa. .

Leave a Reply