Ushauri wa Diamond kwa wasanii kuhusu shoo za USA

Ushauri wa Diamond kwa wasanii kuhusu shoo za USA

Kupitia Insta Story ya staa wa muziki ndani na nje ya Tanzania Nasubu Abdul maarufu kama Diamond Platnumz, anasema wasanii watanzania watoe nyimbo za maana ili wakienda kufanya show Marekani waweze kujaza.

Kupitia clip video alizoshea kwenye Insta Story yake Diamond Platnumz amesikika akisema "Nyie watanzania pia mkija huku mfanye mambo ya maana, toeni nyimbo mkija mjaze"

Hata hivyo kauli hiyo ya Diamond iliwaibua mashabiki wa muziki ambao wengi wao walionekan akumsapoti na kusema kuwa mtu anapokuwa na nyimbo kali ni moja ya mbinu za kuwavuta amshabiki kuingia katika shoo zake.

Najua na wewe msomaji wetu unaoushauri wako kwa wasanii wa Tanzania lakini tuambie unakubaliana na Diamond, dondosha coment yako katika ukurasa wetu wa Instagram ambao ni @mwannachiscoop.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags