Utafiti: Kupumua mbele ya mpenzi wako kunaimarisha uhusiano

Utafiti: Kupumua mbele ya mpenzi wako kunaimarisha uhusiano

Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na mtaalamu wa masuala ya ndoa na familia nchini Marekani, Gary Brown ameeleza kuwa kupumua mbele ya mpenzi wako (kujamba) kunaweza kuwa ishara ya uhusiano wenye afya na faraja.

Bwana Gary ameweka wazi hatua hiyo ya kujiachia ukiwa na mwenza wako inaonesha kwamba wewe na mpenzi wako mko huru huku akidai kuwa hatua hiyo inaweza kusababisha ushirikiano wenye uaminifu na uimara zaidi.

Mbali na hilo pia ameeleza kuwa kupumua mbele ya mwenza wako kunaweza kuwa ishara nzuri kwani wapenzi ambao wapo huru wanauwezekano wa kufanya tendo la ndoa lenye ubunifu kutokana na kila mmoja kujiachia kwa mwenzake.

Hata hivyo amedai kuwa kupumua mbele ya mpenzi wako kunaweza kuwa ishara kwamba umetulia katika mahusiano yako.

Je wewe unayesoma hii posti unaweza kupumua mbele ya mpenzi wako?

This story is available exclusively to SCOOP members.
Become a #Scooper and start reading now.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags