Vinicius kutoka nje ya uwanja

Vinicius kutoka nje ya uwanja

Mchezaji wa #RealMadrid, #ViniciusJunior ameripotiwa atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi kisichopungua miezi miwili baada ya kupata maumivu makali ya misuli.

Kwa mujibu wa The Athletic, kwa uchunguzi uliyofanyika kuhusu majeruhi ya ‘winga’ huyo anayesumbuliwa na maumivu ya misuli kwenye paja la kulia ni tatizo litakalo muweka nje ya uwanja.

Ingawa mchezaji huyo anaenda kupoteza ‘mechi’ sita ndani ya kipindi hicho akiwa nje ya uwanja pia Vinicus pia atakosa ‘mechi’ moja ya ‘ligi’ ya mabingwa Ulaya itakayo pigwa Septemba 18 mwaka huu.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags