'Klabu’ ya #Yanga imetoa taarifa kuwa Afisa Habari wa ‘timu’ hiyo #AliKamwe anaendelea vizuri kwa sasa, baada ya kupata matatizo ya kiafya dakika chache kabla ya kutamatika kwa mchezo dhidi ya #RCBelouizadad.
Inaelezwa kuwa msemaji huyo alikimbizwa hospitali jana katika dakika za mwishoni za mchezo huo uliyo tamatika kwa 'klabu' ya Yanga kutoka na ushindi wa bao 4-0 wakiingia robo fainal ya’lingi’ ya mabingwa Africa.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi

Leave a Reply