At arudi mjini kivingine

At arudi mjini kivingine

Oooooh! Bwana bwana siku hizi wabongo wameamua kurudi mjini kwa kutoa ngoma kali, kwa upande wa Msanii AT mfalme ambae alitikisa kupitia muziki wake wa mduara miaka ya nyuma na leo ameamua kuandika na kusema kuwa anarudi mjini kivingine

Kupitua Instagram  yake ameamua kufuta picha zote na kisha kuandika ujumbe kupitia instastory yake akieleza kuwa ni muda wa Mashabiki zake kuburudika kwasababu alikuwa akijitafuta na sasa amejipata rasmi.

Aidhaa aliandika kuwa "Nimemaliza Vitu Vyote Muda Wa Kupumzika Na Kufurahi Na Family Umeisha Now Kazini Please Subscribe My Channel Link On My Bio , Nimejitafuta Na Nimejipata Mpya Kabisa Nitaamka Na Watu Waburudike'' Ameandika AT

Aloooooh! Kwa mtazamo wako je msanii huyu ataweza kulishika soko la muziki kama hapo zamani au laa? Dondosha komenti yako hapo chini mtu wangu wa nguvu






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags