Kumekuwa na maoni kadhaa kutoka kwa wadau wa muziki kuhusu migogoro katika kazi hiyo. Wapo wanasema bifu zinakuza muziki kwa sababu zinasababisha ushindani katika gemu, lakini...
Mwigizaji Lumole Matovolwa ‘Kobisi’ amesema waigizaji wengi wa sasa wamejaa ujuaji kutokana na kutopita kwenye vikundi vya sanaa vinavyofundisha maadili kwa wasani...
Msanii wa Afrobeat kutokea Nigeria, Burna Boy ameingia kwenye trend baada ya kufanya remix za nyimbo hit kutoka kwa wasanii tofauti tofauti.Hii ni baada ya Burna Boy kuvutiwa ...
Wapo baadhi ya wasanii Bongo ambao wamewahi kutambulisha wasanii kupitia lebo zao. Mwishoni mwa 2024 Omary Ally maarufu kama Marioo alimtangaza ‘msanii wake’ wa kw...
Nimewahi kukutana na washkaji ambao walifanya makosa makubwa sana kwenye maisha yao, makosa ambayo yaliwagharimu kila kitu walichokuwa nacho, walipoteza kazi, pesa, familia, u...
Wengi walizoea kumuona Shufaa Lutenga 'Mama Hamisa Mobetto', katika mwili wa unene, lakini hilo limekuwa tofauti siku za hivi karibuni ambapo mwili wake unaonekana kupungua kw...
Kupeana tafu ndio mpango mzima kwenye maisha, hiyo imejidhihirisha kwa baadhi ya wasanii wa muziki nchini ambao wamezibeba historia za mafanikio ya wasanii.Katika historia ya ...
Peter Akaro
Imekuwa ajabu kuona wimbo wa Rayvanny, Nesa Nesa (2024) uliotoka takribani miezi mitatu iliyopita ukirejea tena katika chati na sasa challange zake zimeshika kasi ...
Takribani miezi mitatu sasa watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini Tanzania hususani TikTok na Instagram wamekuwa wakitumia wimbo wa ‘Halali’ katika machapisho ya...
WhatsApp imeweka feature mpya inayowaruhusu watumiaji wake kuweka wimbo wowote waupendao kwenye hadithi (status).Kwa kutumia feature hiyo mpya unaweza kuchaguwa kipande cha wi...
Peter AkaroMwanamuziki wa Marekani, John Legend (46) amesema kipindi anarekodi na Lauryn Hill (46) alikuwa ni mwanafunzi wa chuo kikuu na hakutegemea kama kazi hiyo ingejumuis...
Mzalishaji muziki maarufu nchini S2kizzy ‘Zombie’ ameendelea kujimwagia maua yake huku akidai hakuna producer mwingine kutoka Bongo anayeweza kumfikia.Zombie ameya...
Kelvin KagamboKama kuna jambo linalowagusa wasanii wa Tanzania hasa Bongo Fleva na Bongo Movie ni maisha kabla na baada ya umaarufu. Swali kubwa ni je wasanii wetu wanajua jin...
Msanii wa Bongo Fleva Harmonize amefanikiwa kutazamwa zaidi ya mara bilioni moja kwenye mtandao wake wa Youtube.Harmonize alianza kuweka maudhui ya muziki kwenye channel yake ...