AUNTY: KUSAH UKINIACHA UTAZIKUTA NYIMBO ZAKO MTAANI

AUNTY: KUSAH UKINIACHA UTAZIKUTA NYIMBO ZAKO MTAANI

Ukisikia kimeumana, bwana ndo hii hapa!! staar wa Filamu nchini  Aunty Ezekiel amevunja ukimya  kwa kumchana baba mtoto wake Kusah kwamba endapo atamuacha basi ngoma zake atazivujisha mtaani.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram ndani ya Insta story yake Aunty ameshare clip ya video akiwa na mwandani wake huyo wakiwa kwenye gari wakisikiliza ngoma mpya.

"Ukiniacha Baby nyimbo zako zote utazikuta mtaani" - Aunty Ezekiel.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags