Baba Levo Akataa Uchawa

Baba Levo Akataa Uchawa

Ebwana eeh!!hii nayo ni kubwa kuliko ambapo Msanii Baba Levo hatimaye rasmi ametangaza kuachana na masuala ya Uchawa.

Aidha msanii huyo ameweka wazi kuwa hivi karibuni atafunguka Zaidi kuhusiana na jambo hilo.

Niambie mdau kwa mtazamo wake unafikiri anaweza kuacha suala hilo? Dondosha comment yako hapo chini kupitia www.mwananchiscoop.co.tz






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Detricia Pamba

A Digital Journalist, Content Creation Executive at Mwananchi Communications Ltd and Chief Editor of Mwananchi Scoop. I'm also writes stories around Technology, every Wednesday on Mwananchi Scoop. My other famous segments on Mwananchi Scoop include LISTI and WHO’S HOT.


Latest Post

Latest Tags