Bongo atangaza kugombea tena

Bongo atangaza kugombea tena

Rais wa Gabon, Ali Bongo amedhamiria kugombea tena kiongozi huyo aliyeingia madarakani mwaka 2009 akichukua nafasi ya baba yake, Omar Bongo aliyetawala kwa zaidi ya miaka 40.

Mbali na kutaka kuwania Bongo alishutumiwa na kiongozi wa upinzani nchini humo, Jean Ping kwa wizi wa kura katika uchaguzi wa mwisho uliofanyika mwaka 2016 ambapo matokeo yalionesha amezidiwa kura 6,000.

Ping alifutiwa passport yake na kuzuiwa kusafiri nje ya nchi kwa miaka 5 baada ya kujitangaza kuwa mshindi wa urais. Hadi sasa familia ya Bongo imetawala nchi hiyo kwa kipindi cha miaka 55.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags