Davido hajasahau asili yake

Davido hajasahau asili yake

Licha ya Davido kujizolea umaarufu na kukubalika katika mataifa mbalimbali, mkali huyo wa Afrobeat kutoka nchini Nigeria anaonekana kutosahau asili yake, hii ni baada ya kuonekana akisalimia familia yake kwa heshima huku akiwa amepiga magoti.

Kufuatiwa na video inayo-trend mitandaoni imewavutia wengi na kitendo hicho cha kudumisha utamaduni wa kabila lake la Yoruba. Ambapo tukio hili liliwaibua mashabiki huku wakiwataka baadhi ya mastaa kutosahau mila na destuli za Kiafrika.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags