Jumapili ya Januari 12, 2025 mpenzi wa msanii wa muziki wa RNB, Juma Mussa 'Jux', Priscilla Ajoke Ojo ametua Tanzania akitokea kwao Nigeria na kuthibitisha anatarajia kufunga ...
Mbunifu wa mitindo kutoka Nigeria, Liz Sanya anatajwa kukamilisha kutengeneza kiatu (sendo) kikubwa zaidi dunaini kwa kutumia masaa 72.Kwa mujibu wa tovuti ya ‘News Cent...
Wasanii Burna Boy na Chloe Bailey wameingia kwenye tetesi za kimahusiano kufuatia kuonekana kwao karibu hivi karibuni. Tetesi hizo zilianza baada ya Chloe kutua Lagos, Jumapil...
Nyota wa Afrobeats Davido amedokeza kuwa onesho lake linalotarajiwa kufanyika mwezi Disemba nchini Nigeria linatishiwa kufutwa kufuatia na msanii huyo kutoa maneno yenye utata...
Wataalamu wa utafiti, mkakati na data ‘Statista’ wametoa orodha ya nchi zinazozalisha filamu huku nchi ya Tanzania ikishika namba nne kati ya nchi 10 barani Afrika...
Mwanamuziki kutoka Nigeria Tems ameendelea kufanya vizuri katika tasnia ya burudani ambapo ametajwa kuwa msanii wa kwanza wa kike kutoka Afrika kutajwa kwenye vipengele vingi ...
Licha ya ngoma ya ‘Komasava’ kufanya vizuri duniani kote lakini msanii Diamond Platnumz amegonga mwamba dhidi ya mastaa kutoka Nigeria katika kuwania tuzo za Gramm...
Mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria ambaye kwa sasa anaishi nchini Marekani, Davido ameitwa mnafiki na baadhi ya mashabiki wa Nigeria baada ya kutangaza kupiga kura kwa mara ya k...
Mwanamuziki anayetamba na wimbo ‘Komasava’ Diamondplatnumz anachuana na mastaa kutoka Nigeria katika tuzo za African Entertainment Awards USA (AEAUSA) zinazotaraji...
Mwanamuziki kutoka Nigeria Paul Okoye maarufu Rudeboy amethibitisha kuwa kundi la ‘Psquare’ alilolianzisha yeye na pacha wake Peter Okoye limevunjika milele.Rude a...
Mwanamitindo Chidimma Adetshina amefunguka ya moyoni baada ya kushinda taji la ‘Miss Universe Nigeria’ kwa kuwataka Waafrika kuacha kubaguana wenyewe kwa wenyewe.C...
Chidimma Adetshina (23) ambaye aliamua kujiondoa kwenye mashindano ya Miss South Africa kutokana na kubaguliwa kwenye shindano, kwa madai ya kuwa ni raia wa Nigeria, na sasa m...
Mwanasiasa kutoka nchini Nigeria, Peter Obi ameripotiwa kuingilia kati ugomvi wa wanamuziki Paul na pacha wake Peter Okoye, hii ni baada ya kuonekana nyumbani kwa RudeBoy siku...
Mwanamuziki kutoka Nigeria Ruger amedai kuwa anataka kuacha muziki ili aweze kuwa video king, hii ni baada ya kuonekana kwenye video ya wimbo kutoka katika kundi la Clean Band...