Diddy kupitia ukurasa wake wa Instagram ame-post picha akiwa na Kim akimtakia kheri katika siku yake ya kuzaliwa huku akiweka wazi kuwa amemkumbuka sana mzazi mwenzie.

Kim Porter na Diddy walikuwa katika mahusiano na walibahatika kupata watoto watatu wawili wakiwa mapacha, Kim alifariki November 15 mwaka 2018 kwa ugonjwa nimonia.
Leave a Reply