Diva kutumia jina la Mume wake Rasmi

Diva kutumia jina la Mume wake Rasmi

Ebwana eeh!!Mtangazaji wa Wasafi media Divatheebawse amethibitisha kubadilisha jina lake la pili, Diva ameanza kutumia jina la mume wake kama Jina lake la pili ambalo ni 'Abdulrazaak'.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram  Diva ameandika ujumbe ulioanisha namna atakavyokua anatumia majina yake kwa sasa ikiwemo vitambulisho vyake.

"Baada ya maisha yangu mapya ya ndoa, nimebadilisha jina langu kisheria kabisa nafahamika kama Diva Raihannah Gissele Abdulrazaak, kwenye Id yangu mpya itaambatana na legal names Diva Raihannah Gissele.”

 National Id ikiisha muda wake i wil remove Malinzi as my surname as well, pili Dini yangu sio Mkristo tena bali Muislamu, jina la Malinzi sitalitumia tena na ata baadhi ya vitu zangu zitakuwa na middle name ya Raihannah, isa new life ... brand new life. this is the last time having change of names legal!.
thanks ".






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags