Msanii wa Bongo Fleva Harmonize ameendelea kummwagia sifa mwanamuziki Ibraah huku akidai kuwa Ibraah siyo msanii wake bali ni kaka yake.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram ame-share ujumbe akieleza kuwa Ibraah siyo msanii wake bali ni kaka yake na wote ‘wamesainiwa’ kwenye label ya Konde Gang na wanandoto ya kuupeleka muziki wa Bongo Fleva ‘levo’ nyingine.

Leave a Reply