Mwalimu Abdul Malik maarufu kama ‘Tube Master’ mwenye umri wa miaka 42 kutoka nchini India amekuwa akiwavutia wengi kufuatia na kujitoa kwake, ambapo kwa takribani...
Ikiwa ni wiki mmoja imepita tangu kesi ya rapa wa Marekani, Diddy Combos ikiendelea kuunguruma mahakamani huku baadhi ya watoa mashtaka wakianza kutoa ushahidi akiwemo aliyeku...
Muziki unapopigwa na umati kuanza kucheza kwa furaha, si rahisi mtu kufikiria mara mbili kuhusu nani aliyesimama nyuma ya vifaa vya DJ, na punde anapogundua kuwa aliyenyuma ya...
Msongo wa mawazo, ni kawaida katika maisha ya kila siku, lakini jambo hilo likiwa endelevu linaweza kukuharibia mfumo mzima wa maisha na kujikuta ukiingia katika njia isiyo sa...
Baada ya ukimya wa muda mrefu, mwanamuziki kutoka visiwa vya Barbados, Rihanna anatarajia kuachia wimbo mpya Ijumaa Mei 16,2025.Kwa mujibu wa tovuti ya Billboard, Rihanna ataa...
Mwanamuziki Barnaba Classic, ameweka wazi siri inayomfanya kuendelea kufanya vizuri kwenye gemu ya muziki akieleza kuwa ni nidhamu, heshima, muda pamoja na ushindani wa vitend...
Akihitimisha siku ya pili ya kutoa ushahidi katika kesi ya shirikisho inayomkabili Sean "Diddy" Combs. Mwanamuziki Cassie Ventura alilia kwa uchungu huku akifichua kwamba aliw...
Mwanamuziki Harmonize amekanusha kauli ya aliyekuwa msanii wake Ibraah ya kumdai kiasi cha Sh 1 Bilioni ili aweze kutoka katika lebo ya ‘Konde Gang’.Kupitia ukuras...
Msanii wa muziki wa Singeli ambaye pia ni Dj wa kimataifa, Dj Travella ameweka wazi kuwa lugha ya kiswahili kwenye muziki huo kwa mashabiki wa nje ya Tanzania sio tatizo.Trave...
By Rhobi Chacha Msanii Ibraah ameondoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) na kusema wamezungumzia migogoro iliyopo kati yake na boss wake Harmonize.Ibraah amezungumza na waand...
Msanii Casandra “Cassie” Ventura aliyewahi kuwa mpenzi Sean “Diddy” Combs jana Mei 13,2025 alitoa ushahidi dhidi ya kesi zinazomkabili Diddy huku mremb...
“Leo ndiyo leo msema kesho muongo”. Msemo huu umebeba maana kubwa kwa wadau wa burudani nchini ambao wanasubiri kusikia hatma ya mzozo wa mwanamuziki H...
Kampuni ya kusaidia matatizo ya Afya ya Akili iliyoanzishwa na mwanamuziki na mwigizaji Selena Gomez mbioni kufilisika, hii ni baada ya kuondoa wafanyakazi tisa mapema wiki hi...
Ni wazi Malaika ni miongoni mwa waimbaji wa kike waliojitokeza kwenye Bongofleva na kufanya vizuri kwa kiasi fulani, ana heshima na historia yake aliyojitengenezea kwenye muzi...