Harmonize kuja na albam mbili

Harmonize kuja na albam mbili

Msanii Harmonize kupitia #Instastory yake amedai kuwa hakuna nyimbo mpya atakazo achia badala yake ametangaza kutoa #Albam mbili.

Wimbo wa mwisho kutolewa na Harmonize ulikuwa “Morning call” ambao aliutoa mwezi mmoja uliopita, huku #Albam yake ya mwisho ilikuwa “Made for us” ambayo aliito miezi tisa iliyopita.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags