Hoteli hiyo iliyoko chini ya maji katika pwani ya St. Lucia nchini West Indies, inagharimu kiasi cha dola 292,000 ambayo ni zaidi ya tsh 744 milioni kwa usiku mmoja.
Katika hoteli hiyo utafanikiwa kuona viumbe mbalimbali vinavyopatikana baharini ukiwa kitandani kwako vilevile pia kuna, baa, choo, na sehemu nyingine.

Leave a Reply