Je Wajua, Unapofuta Picha, Video Zinabaki Kwenye Simu

Je Wajua, Unapofuta Picha, Video Zinabaki Kwenye Simu

Kama ulikuwa haujui basi leo nakusanua, unapofuta Picha, Call, Jumbe ‘SMS’ jua tuu hazifutiki bali zinabaki katika simu yako.

Na kama ilivyokawaidia yetu Leo kwenye Teknoloji tunakusanua sehemu hiyo ambayo inakaa takataka zote ulizowahi kufuta kwenye simu yako na namna ya kuviondoa ili simu yako ibaki ikiwa nyepesi kabisa.

 Chukua simu yako nenda katika upande wa call kisha bonyeza *#9900# kisha OK.
 Baada ya hapo itakupeleka katika sehemu ambayo imeandika ‘SysDump’
 Ukishafika katika eneo hilo utashusha chini hadi sehemu iliyoandikwa ‘Delete dumpstate/logcat.
Na mpaka kufikia hapo utakuwa umefuta uchafu,takataka zote ambazo uliwahi kuzifuta kwenye simu yako. Hii ni kwa watumiaji wa simu za Samsung tu.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags