08
Je Wajua, Unapofuta Picha, Video Zinabaki Kwenye Simu
Kama ulikuwa haujui basi leo nakusanua, unapofuta Picha, Call, Jumbe ‘SMS’ jua tuu hazifutiki bali zinabaki katika simu yako.Na kama ilivyokawaidia yetu Leo kwenye...
27
Je wajua binti akisuka hivi yupo kwenye balehe
Tunajua unajua lakini tunakujuza zaidi, wakati Bongo baadhi ya vijana wakijitahidi kuficha hatua za ukuaji (balehe), lakini kwa tamaduni za Kusini mwa Angola hakuna siri kweny...
23
Je wajua Wanaume wenye vipara walitumika katika majaribio ya lipstick
Katika miaka ya 1950 kazi ambayo ilikuwa ikitrend sana katika sehemu mbalimbali hasa Marekani ni kazi ya majaribio ya lipstick iit...
26
Je wajua Mamba anauwezo wa kuzaa bila dume
Wana sayansi kutoka nchini Marekani, wamethibitisha kuwa mamba ni mmoja kati ya wanyama ambao wana uwezo wa kupata ujauzito na kuzaa bila ya mamba dume. Kwa mujibu wa tovuti m...
05
Je wajua asilimia 90 wanaume wana kovu kidoleni
Wakati mwingine kuna vitu vipo katika miili yetu lakini hatufahamu kama tunavyo, pia vipo vile ambavyo watu huvitumia kama alama kwenye miili yao, mara nyingi unakuta mzazi ak...
09
Je wajua tabia yako ipo kwenye kundi lako la damu
Na Aisha Charles Weeeeh! It’s furahidayyyyy! Kama mnavyojua afya ndo jambo la muhimu na msingi sana katika mwili wa mwanadamu, hivyo basi hatuna budi kukusogezea mawili ...
30
Je wajua kuna Rihanna day huko, Caribbean
Na Habiba Mohamed  Niaje niajeeeeeeeee watu  wangu wa nguvu, kama ilivyokawaida nyota njema huonekana asubuhi, basi bwana msanii na mfanyabiashara maarufu Roby Rihan...

Latest Post