King Kiroboto Afariki Dunia

King Kiroboto Afariki Dunia

Msanii na mpiga matarumbeta maarufu nchini ambae anatambulika kwa jina la King Kiroboto amefariki Dunia


Taarifa zilizo tolewa kwamba kabla ya kifo chake Kiroboto alianguka ghafla wakati akifanya show kwenye hoteli ya Giraffe jijini Dar es salaam, Na baada ya kuanguka alishindwa kuendelea na show na alifariki dunia wakati akikimbizwa hospitali.

 Innallillah wainnallillaah rajion

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags