Kocha wa Arsenal awaomba radhi mashabiki

Kocha wa Arsenal awaomba radhi mashabiki

Kocha mkuu wa klabu ya  Arsenal, Mikel Arteta ameomba radhi mashabiki wa klabu hiyo baada ya kupata kipigo cha mabao 3-0  dhidi ya Brighton siku ya jana jumapili na kueeleza kuwa haitawezekani tena kwa timu hiyo kushinda taji la Premier League

Aidha Arteta amewaomba radhi mashabiki wa Arsenal huku akiamini kuwa matokeo hayo hayakuwa mazuri kwa upande wao kwa kupitwa na Manchester City ambae sasa hivi ana hitaji ushindi wa mechi mmoja tu ili kutangazwa ubingwa wa Premier League kwa mara ya tatu mfululizo.

Haya shabiki wa Arsenal unamtazamo gani kwa msimu huu Arsenal kupata vichapo mara kawa mara, dondosha comment yako hapo tuone






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags