Msanii Wa Bongo Fleva, Kusah ameachia ngoma mpya iitwayo "No Time".
Kusah amethibitisha hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram akiandika, "Another Hit from your favorite ❤️🤴 #NOTIME available now on all digital platforms 🌎🎵"
Je, Umeshaisikiliza??? Umeipenda au tusonge mbele?
Tupia comment yako!

Leave a Reply