31
Ngoma Zilizomkosha Majizzo 2024
Ikiwa ni desturi ya baadhi ya mastaa na watu mashughuli ku-share orodha ya ngoma walizopenda kusikiliza kwa mwaka mzima, naye mfanyabiashara Majizzo hajakaa kinyonge amedondos...
10
Ngoma kumi bora za Zitto Kabwe 2024
Kama ilivyo kawaida kwa baadhi ya watu mashuhuri, kila ifikapo mwisho wa mwaka huachia orodha ya ngoma walizopenda kusikiliza kwa mwaka mzima. Aliyekuwa kiongozi wa chama cha ...
22
Miaka 31 ya Zuchu na karata mbili kubwa
Ikiwa leo ni siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwa mwanamuziki Zuchu akitimiza miaka 31 yapo mengi ambayo yamemgusa katika tasnia yake, lakini kwa kawaida mambo haya mawili tunawe...
19
Ngoma hizi ziliwatambulisha vizuri wasanii hawa
Tasnia ya muziki wa Bongo Fleva imejaa vipaji vingi kutoka kwa wasanii tofauti tofauti, ambao kila mmoja alifanikiwa kutoka kwa wakati wake. Katika hao wapo ambao walianza muz...
01
Siku ya Muziki ya Kimataifa, unapenda kusikiliza ngoma za aina gani
Kwa wapenzi wa burudani katika upande wa muziki, leo ni siku yao maalumu kwani dunia inaadhimisha siku ya Muziki ya Kimataifa.Uwep...
24
Mauzo ngoma za Diddy yapanda
Kufuatia kukamatwa kwa mwanamuziki Sean “Diddy” Combs wiki iliyopita imeripotiwa kuwa mauzo ya nyimbo zake yamepanda na kupata ongezeko kubwa la wasikilizaji katik...
18
Tiwa Savage aomba kutafsiriwa ngoma ya G-Nako Na Diamond
Mwanamuziki kutoka Nigeria Tiwa Savage ameomba kutafsiriwa wimbo wa ‘Komando’ wa mwanamuziki G Nako na Diamondplatnumz.Hiyo ni baada kusikia jina lake likitajwa ka...
18
Ngoma ngumu kwa Diddy, vilainishi nyumbani kwake vyageuka gumzo
Ikiwa ni siku moja imepita tangu mwanamuziki wa hip-hop Marekani Sean 'Diddy' Combs kutiwa nguvuni, ripoti mpya ya kilichokutwa kwenye nyumba zake yatolewa.Kwa mujibu wa waend...
27
Ngoma za wasanii wa Universal Music Group kuchezwa WhatsApp
Kampuni ya Meta inayojihusisha na mitandao ya kijamii pamoja na kampuni inayoongoza duniani kwa kutoa burudani ya muziki 'Universal Music Group (UMG)' zimeingia makubaliano ma...
07
Harmonize na Libianca kwenye ngoma moja
Mkali wa Bongo Fleva, Rajab Kahali, ‘Harmonize’ yupo mbioni kuachia video ya ‘Side Niggah’ remix aliyomshirikisha mwanamuziki kutoka Cameroon Libianca ...
13
Ayra Starr, Tems vinara Spotify
Wanamuziki maarufu wa Nigeria, Ayra Starr na Tems wametangazwa kuwa mwaka huu nyimbo zao ndio zinasikilizwa zaidi kutokea nchini humo kupita Jukwaa la Spotify. Inaelezwa kuwa ...
10
Meja Kunta afichua kilichomsukuma afanye ngoma na Chidi Benz
Mwanamuziki wa Singeli, Meja Kunta, ameweka wazi mipango yake ya kufanya kazi na rapa mkongwe Rashidi Abdallah, maarufu kama Chidi Benz. Akizungumza katika mahojiano maalumu n...
08
Wasanii Bongo walivyokwepa albamu na kugeukia EP
Utoaji wa albamu kwa wasanii ni moja ya kitu kinachotafsiriwa kama mafanikio yake kwenye kazi ya muziki. Licha ya kuwa albamu hutafsiriwa kwa upande huo, lakini kwa sasa wasan...
04
Mocco Genius anavyobadilika kama kinyonga kwenye ngoma zake
Kawaida ubunifu ndiyo kitu kinachotofautisha mtu mmoja na mwingine katika kazi ya sanaa hasa katika muziki ambapo kila msanii anatamani kuwa bora kuliko mwenzake. Wapo ambao w...

Latest Post