Maandamano yanaendelea, Mashabiki wa MohBad wadai huwenda alizikwa akiwa hai

Maandamano yanaendelea, Mashabiki wa MohBad wadai huwenda alizikwa akiwa hai

Maandamano bado yanaendelea nchini Nigeria kufuatia kifo cha aliyekuwa mwanamuziki MohBad, kwa ajili ya kupigania haki yake, huku baadhi ya mashabiki wa muziki nchini humo, wakidai kuwa huenda msanii huyo alizikwa akiwa hai kwani baada ya kufukuliwa kwa kaburi lake imekutwa damu mbichi kwenye jeneza alilozikiwa.
 
 
Kila mtu amekuwa akizungumza lake kwenye mitndao ya kijamii kutoa maoni ya damu hizo kuonekana kwenye jeneza mara baada ya taratibu za kufukua kwa ajili ya kufanya uchunguzi kufahamu chanzo cha kifo chake.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags