Mama mzazi wa mwanamuziki wa #Bongofleva nchini #Diamond, Mama Dangote ameeleza kuwa hatambui kama #Zuchu na mwanaye kama wako kwenye mahusiano.
Mama Dangote ameyasema hayo wakati wa mahojiano yake katika moja ya chombo cha habari baada ya mwandishi kumuuliza kuhusu kujua kuwa #Diamond ana mahusiano na Zuchu amefunguka kwa kusema
“Hajawahi kuniletea Zuchu na kusema anataka kumuoa mimi najua Zuchu ni msanii wake, ninachujua mimi mchumba ni yule aliyepeleka mahari”

Leave a Reply