Mangungu ashinda uenyekiti Simba

Mangungu ashinda uenyekiti Simba


Taarifa tulizonazo kwa sasa kuhusiana na uchaguzi mkuu kwenye klabu ya simba ni hizi hapa ambapo Murtaza Mangungu ameshinda katika Uchaguzi huo kwa kupata kura 1,311 akimshinda Moses Kaluwa kwa tofauti ya kura 266 huku kura 7 zikiharibika.

Aidha walioshinda nafasi ya Ujumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba ni: Dkt. Seif Ramadhan Muba kura 1636, Asha Baraka (1564), CPA Issa Masoud Iddi (1285), Rodney Chiduo (1267) na Seleman Harubu (1250)






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags