Mashabiki waimba jina la Ronaldo uwanjani

Mashabiki waimba jina la Ronaldo uwanjani

Kwa upande wa nyota wa Al Nasrr CR7 amejipata Saudi Arabia, hii ni baada ya kuonekana kupendwa zaidi na mashabiki wa ‘klabu’ hiyo, huku usiku wa kuamkia leo Septemba, 23 wakati wakiwa dimbani na Al Ahly.

Mashabiki walisikika wakiimba jina la mkali huyo wa ‘soka’ duniani baada ya kufunga mabao mawili na kufanya ‘timu’ hiyo kuibuka na ushindi wa mabao 4-3.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags