Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, Meek Mill ameweka wazi kuutaka Urai wa Ghana baada ya kuchoshwa na unyanyasaji wa watu weusi nchini Marekani.
Mill ameyasema hayo kupitia ukurasa wake wa X kwa kueleza kuwa anataka Uraia wa Ghana kwani Marekani imetengenezwa kwa ajili ya kuwabomoa wanaume weusi.

Leave a Reply