Mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili, #MercyChinwo na mumewe #BlessedUzochikwa, wamepata mtoto wa kiume.
Wanandoa hao walitoa taarifa hiyo Jana Ijumaa kupitia mitandao yao ya kijamii ambapo wali-share video ya wimbo ulioibwa na #Mercy wa ‘You do this One’, ambapo kufuatia video hiyo waliambataniasha na ujumbe wa shukurani kwa kumpokea mtoto huyo.
#MercyChinwo alijulikana zaidi kufuatia kazi zake kama vile ‘Wonder’ , Excess love’ , ‘Chinedum’ na nyinginezo.

Leave a Reply