Naira Marley ashikiriwa na polisi kwa uchunguzi, Kifo cha MohBad

Naira Marley ashikiriwa na polisi kwa uchunguzi, Kifo cha MohBad

Baada ya ‘rapa’ kutoka nchini Nigeria Naira Marley kutoa tamko la kurudi nchini humo kwa ajili ya kusaidia uchunguzi kufuatia kifo cha mwanamuziki MohBad hatimaye amekamatwa na ‘polisi’ kwa ajili ya uchunguzi.

Kupitia mtandao wa X wa msemaje wa polisi jijini Lagos SP Benjamin Hundeyin amethibitisha kukwamatwa kwake kwa ameandika kuwa,

“Azeez Fashola maarufu kama  Naira Marley ameshikiriwa na jeshi la ‘polisi’ kwa mahojiano na kusaidia shughuli za uchunguzi”
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags