Platform akanusha kuwa kwenye mahusiano na Muna Love

Platform akanusha kuwa kwenye mahusiano na Muna Love

Baada ya kuzuka tetesi kupitia mitandao ya kijamii kuhusiana na mwanamuziki wa #Bongofleva #Platform kuwa kwenye mahusiano na mwanadada #Munalove, hatimaye #Platform amekanusha tetesi hizo huku akiweka wazi kuwa wawili hao ni marafiki tu wa kawaida.

Kufuatiwa na mahojiano yake katika moja ya chombo cha habari nchini #Platform ameweka wazi kuwa yeye na #Munalove ni marafiki toka zamani na wamejuana kupitia mitandao ya kijamii hivyo hawako katika mahusiano.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags